ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU AWEKWA KIKAANGONI.!!

LULU AKIWA KIKAANGONI

Leo hii kupitia kipengele cha Kikaangoni Live facebook EATV, wapenzi wa ukurasa huu wamepata nafasi ya kuchat moja kwa moja na msanii wa filamu Tanzania, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu ambapo kwa muda wa saa mbili wameweza kumuuliza maswali waliyokuwa nayo juu yake na kujibiwa moja kwa moja. Chini ni chatting ya mrembo huyo na mashabiki wake:


Like · ·
Samira Salim Afu mbna mnaxema ni lulu wakat 2namuona shilole ni eatv ipi
Kennedy Edson et ww ndio umemuua kanumba?
Sweetbert Valence hiv Lulu unamchumba?
Alcat Sumat Mi sina meengi kwakua nina swaumu, swali langu kwa mlimbwende Elizabeth Amejipangaje na kuepukana na kashfa zenye kulichafulia jina taifa hili na tasnia nzima ya ulimbwende?
Pretty Kumburu Mm nakupenda na kaxi zako nashukuru kama umechange na Mungu akufungue akili ya kikubwa@hotlulu
Faniran I. Mbasha Kesi yako vipi? Mtoto wewe nasikia unataka kuolewa na mtoto wa kigogo kweli?
Revocatus Catus @lulu vp maisha ya jela magum sana na vp wewe ulikuwa unakaa v VIP au
Samira Salim Punguza skendo za kimalaya
Angel Sanga mbona hamna kinachoendelea,huyo lulu hatumuoni
Nyañgê Shalon Saa nane aijafka ila cjbw anankata mzuka ajarbu kufanya
Samirah Ayubu mbona uksend txt nah ans...
Pasco White mnazingua mbona hatumuoni
Raphael Mhosole eatv tutakeni radhi,
Lusajo Mwakingwe Mnazingua 2.
Gilbert Mushi mbona hayupo? au kaenda mahakamani?
Mahmoud A Mbwana aaaah mnazingua where is lulu xx?
Keylin Fulgence Hayupo kwny kikaango..!?
Raphy Twalib @eatv.. Hii convo na lulu iko facebook 2 haionyeshi kwenye tv or hatusikii kwenye radio.. Wats goin on eatv???..
East Africa Television (EATV) Boss, KikaangoniLIVE ni ya Facebook peke yake.
Godlisten Stephan Mbona nikpnd cha ze mboni jamani@eatv
Awadh Mbwana Mnazingua sana mbona naona kpindi cha mboni show 2?
Athuman Fihili nyie eastv vp cc 2nakomaa kuandika halafu ha2jibiwi why mnazingua bwana
Edison Thomas Mbona simuoni kwenye tv au? Kunasehemu nyingine yuko live
Baraka Fanuel Kiroka Sasa mbona hajibu au ajui kuxoma na kuandia au ndo umesha kaangika tayar
Yuster Mahinya Mbna hajbu xaxa
Happy Respack Acheni uongo EATV
Evelyn Kiriso Uronu hbr lulu? vipi hali ya hap eatv unaionaje?
Upendo Hezroni lulu akasome
Kinega Vika General Jifunze kupitia makosa
Galus de Focus lulu ndo nani??
Ahmad Ramadhan Hahahaaaa....
Kaka Zembwela kachapia- AKIINUA 'MKOPO' JUU. Badala ya 'MKONO'
Hotlulu Michael asanteni sana mashabiki wangu....naomba radhi kwa wale nilioshindwa kujibu maswali yenu...kiukweli maswali yalikuwa mengi na nimejitahidi kujibu baadhi ya maswali....account hii nilikuwa naitumia kwa muda tu,baada ya hapa haitakuwepo tena na wala sina account nyingine yoyote facebook...kuweni makini na ma lulu fake...asanteni sana...mbarikiwe...cheers
Dyna Marcher nataka kujuwa hko jela kuna vip?nataka kujua unamovie gan nw 2013.
Daniel Salali Uongo mnaongelea chumbani nin? mbona tv hakuna lolote au muda haujafika?
Bryn Bray She'z still beautiful and now she have amaizing calm and wisdom.!! Am still under her spell i like her a lot... Welcome back
Elias Benedicto unawapenzi wangap lulu
Kenny Triney watc are yor planz ov going back 4 sculing jaman??????????/

Keily Klair kip up the spirit of a good actor my dear and avoid publicty & mediaz live a private life and a normal one

Mary Massawe kwa tv au wap??

Dax Marl Anapata matatizo gani awapo mtaani mana wapo wanaojua ye ndo chanzo ama mhusika wa kifo cha kanumba?!DAX TOKA TARIME MARA.
Kagusa Mwenda inamaana #shilole ndio lulu nyie eatv vp maswal yenyewe hamyajibu haa mnakera kwakwel.

Evarist James Ni kweli alimuua kanumba kwa bahati mbaya au...maana yy akilimwa hilo swali anaishia kulia tu,hebu afafanue kama ray c alivyokubali kuwa alikua anatwanga madawa ya kulevya
Mbaji Anas mbona hajibu chanel 5 nanyie ni kizuka kama lulu
Waziri Paulo Kwani lulu ninan kwanza hana jipia tena leta maada zenye akili sio kama hizi za kisenge senge
Pendo Jonas Lulu love u!
Like · Reply · 2 · 7 hours ago via mobile

Hashimu Yusufu Hashimu Yusufu mbona hajajib hata comment moja

Suzan Gerald Pole na matatizo nakupenda xana na nakuombea mafanikio mema. Mungu ni mwema
Nyato Halici from shy town
Unajihisije ulivyo maarufu alaf unaandamwa na skendo?


Gladness MassaweBinadamu tunajifanya sisi ni wenye haki na tumekamilika usiuumize kichwa na maneno yao wasamehe bure.songa mbele mdogo wangu.
  • Mika M Masisa mbona hajibu au ni Recorded?
  • Goodhope Maringo Lulu mm nikiwa kama kaka yako.napenda kukushauri watu kukupenda bado wanakupenda na wengine wasiokupenda hakikisha unawarudisha kwa matendo mazuri na yakuigwa.kuvaa uchi na magazeti sasa basi umefanya mengi sasa ishi ukimtumainia mungu,bado we nimsichana mdogo unalakuifanyia jamii iki ikukumbuke mara utapokua hapo nao tena.jichunge na ujue si weng wanafuraha nawe nakutakia maisha marefu.ni mm goodhope maringo mshabki wako
Peter Daniel Lulu ni mwigizaji nyota kwa ww unaeuliza lulu ni nani

Silvanus Mangu Mayenga Ww Mdashi Lulu Hakuwa Gerezan Bali Alikuwa Mahabusu.@Mdashi.
52 of 1,293
Write a comment...

BONYEZA HAPA ILI KUNUNUA SIMU NA LAPTOP AINA MBALIMBALI

Share on Google Plus

About Kizo Brax

'I am an Entrepreneur who recognize the work of the others, my Ambitions is to become the Great Entrepreneur as I struggle as to the highest peak.!! I do like cooperation and co-working with the others who have desire to achieve the best. I have a bachelor degree of Accounting from IFM, I practice accounting + related services, Taxation + management.'
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment