CHANZO CHA KIFO CHA MSANII ALBERT MANGWEA (NGWAIR) NDIZO HIZI.!!

ALBERT MANGWEA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la 'Albert Mangwea' maarufu kwa jina la 'Ngwairamefariki dunia leo majira ya saa tano za asubuhi kwa majira ya nchini Afrika ya Kusini ambako alikuwa huko rasmi kwa shughuli zake za kimuziki. Habari za kina zinadai kuwa 'Ngwair' kabla ya mauti kumkuta alifanikiwa kufanya show zake mbili nchini humo ambapo kabla ya kurudi Tanzania siku ya kesho (yani leo) alipata fursa ya kukutana na marafiki na jamaa zake wa huko lakini masaa machache baadaye zilisikika habari za msanii huyo kukimbizwa hospitalini kutokana na kuzidiwa na vinywaji vya pombe kali alivyotumia.

Hata hivyo muda mchache baadaye zilisikika habari za kifo chake na mwili wa msanii huyo uko kwenye chumba cha kuhifadhi maiti hospitalini huko Afrika ya Kusini. Habari hizi ni kwa mujibu ya watu waliokuwa naye nchini humo. R.I.P CLICK HERE 2GET MORE

Share on Google Plus

About Kizo Brax

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment