JOKATE MWEGELO & PENNY WAFUGUKA JUU YA FUMANIZI LA DIAMOND NA UWOYA.!!

PENNY & DIAMOND


Habari za fumanizi la msanii 'Diamond' anayesemekana kukutwa Hotelini na mwigizaji wa filamu hapa Bongo anayefahamika kwa jina la 'Irene Uwoya' zilisambaa kwa kasi kupitia blogs na magazeti baada ya kuandika habari hiyo ikiwa na picha inazowaoenesha mastaa hao wakichukua chumba kwenye hoteli ambako  walienda kufanya yao.


Kufuatia kashifa hiyo wadaku wa mjini walizungumza na mpenzi wa sasa wa 'Diamond' ambaye ni mtangazaji wa kituo cha luninga cha DTV 'Penny' ambaye alizungumza kwa ufupi kuwa wameshayazungumza na mumewe mtarajiwa 'Diamond' na hawana tofauti kwasasa lakini akasisitiza kuwa asingependa kuliongelea zaidi suala hilo.


Kwa upande mwingine 'Jokate Mwegelo' aliyewahi kuandikwa na magazeti mengi ya udaku kuwa ametoka kimapenzi na 'Diamond' amekanusha  taarifa iliyoandikwa na gazeti moja la udaku kuwa amemcheka 'Irene Uwoya'kwa kunaswa kwenye himaya ya 'Diamond' .
JOKATE MWEGELO
Share on Google Plus

About Kizo Brax

'I am an Entrepreneur who recognize the work of the others, my Ambitions is to become the Great Entrepreneur as I struggle as to the highest peak.!! I do like cooperation and co-working with the others who have desire to achieve the best. I have a bachelor degree of Accounting from IFM, I practice accounting + related services, Taxation + management.'
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment