Browse » Home » , » MPYA KUTOKA MPEKUZI: WASANII WA BONGOMOVIE WAFANYA MAPENZI HADHARANI.!!

MPYA KUTOKA MPEKUZI: WASANII WA BONGOMOVIE WAFANYA MAPENZI HADHARANI.!!

WAFANYA MAPENZI HADHARANI

Katika hali isiyokuwa ya kawaida wasanii wawili wanaojiita wanachipukia kwenye tasnia ya filamu hapa nchini (Bongomovie) wamewaacha watu midomo wazi baada ya kufanya mambo ya chumbani (mapenzi) hadharani tena kwenye kijichaka.! Waigizaji hao wanaofahamika kwa majina ya 'Tabasamu Mohamed na Neema Ibrahim' wamekutwa wakifanya mambo hayo yasiyo na tija kwa jamii mithili ya wanyama kwani hawakuhofia sehemu waliyokuwa na badala yake walianza kushikana na hatimaye wakijikutwa wakisaula viwalo vyao kwa mujibu wa mpekuzi blog.

Sasa sijui tuite huu ni ushamba ama kujitafutia umaarufu kwa nguvu, kwanza ukiangalia wasanaii waliofanya tukio hili hata jina kwenye sanaa hawana lakini bado wanazidi kuitia madoa tasnia hii ya uigizaji kana kwamba nao wamo.! Mmmmh,hatujui labda wako kwenye mazoezi ya filamu za namna hiyo.!

BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZOTE

 

Chanzo: www.freebongo.blogspot.com_mpekuzi.

BONYEZA HAPA ILI KUNUNUA SIMU NA LAPTOP AINA MBALIMBALI

0 comments:

Post a Comment