HISTORIA YA STEVEN KANUMBA NA FILAMU ALIZOCHEZA HADI 2012.

HAYATI STEVEN KANUMBA
Hayati Steven Kanumba.
Alizaliwa Januari 81984(umri 29)Shinyanga,Tanzania
Amefariki Aprili 7, 2012 (umri 28)Dar es Salaam,Tanzania
Kazi yakeMuigizaji,Mtunzi,Mtayarishaji,Muongozaji

Steven Charles Kanumba alikuwa msanii wa maigizo na filamu kutoka nchiniTanzania. Katika historia ya tasnia ya filamu nchini Tanzania, Kanumba ndiye aliyekuwa msanii wa kwanza nchini kufanya kazi nje ya nchi na kuweza kuwavuta wageni kutoka nchi mbalimbali kuja kuigiza Tanzania. Hasa walikuwa Wanigeria kama vile Mercy Johnson, Emmanuel France, Nkiru Silvanus, Ramsey Noah, na wengine wengi tu. Kanumba pia ameweza kuwaleta waongozaji filamu kadhaa wa kutoka Nigeria kuja nchini.

Maisha Yake.
Steven alianza masomo yake kwenye shule ya msingi ya Bugoyi, na kuendela na masomo ya sekondari huko Mwaduina baadae kupata uhamisho katika shule moja jijiniDar es Salaam iitwayo Dar Christian Seminary. Alivyomaliza kidato cha nne akaendelea na masomo ya kidato cha tano na sita katikashuleya sekondari ya Jitegemee ilioko huko huko Dar es salaam.

Shughuli za uigizaji
Kanumba ameanza shughuli za kuigiza miaka mingi kwenye miaka ya 1990's ila kufahamika zaidi alianza mwaka2002mara tu baada ya kujiunga na kundi la sanaa ya maigizo maarufu kama Kaole Sanaa Group.

Filamu na Tamthilia Alizotunga
1Tufani( Johari )
2Gharika
3Baragumu
4Sikitiko Langu
5Johari 2
6Dangerous Desire
7Dar 2 Lagosi
8Cross my Sin
9Village Pastor
10Family Tears

Filamu na Tamthilia Alizoigiza
1Jahazi( Tamthilia )
2Dira( Tamthilia )
3Tufani( Johari )
4Gharika( Tamthilia )
5Baragumu( Tamthilia )
6Sikitiko Langu(Filamu)
7Johari 2(Filamu)
8Dangerous Desire(Filamu)
9Dar 2 Lagosi
10Riziki (film)(Filamu)
11Cross my Sin(Filamu) 

BONYEZA HAPA UWEZE KUNUNUA SIMU NA LAPTOP AINA MBALIMBALI


DOWNLOAD LINAH - OLE THEMBALAMI - MP3.

DOWNLOAD STAMINA FT NAY WA MITEO - KWENU VIPI - MP3.

DOWNLOAD YOUNG KILLER FT BANANA ZORO - UMEBADILIKA - MP3.

DOWNLOAD STOPA RHYMES - MAPENZI NA MAISHA - MP3.

DOWNLOAD TOP C NEW SONG - NIHURUMIE - MP3

DOWNLOAD MAD ICE SONG - OH MARIA - MP3.

DOWNLOAD 2FACE IDIBIA SONG - CAN'T HEAR YOU - MP3.

DOWNLOAD PETER MSECHU MUSIC FT AMINI -NYOTA - MP3.

MTOKEO YA KIDATO CHA SITA - FORM SIX RESULTS 2014.

DOWNLOAD Y TONY - MY SHITOBE - MP3.

DOWNLOAD D KNOB - NJAA YA MKWANJA - MP3.

DOWNLOAD RICH MAVOKO NEW SONG - TURURU - MP3.

INAYOUZA WIKI HII: MAMA SALMA AKIWA NA RAIS KIKWETE SOKONI.!!

DOWNLOAD STELLA MWANGI FT DJ M.Z.I - BUTTERS THEME - MP3.

DOWNLOAD YOUNG DEE NEW SONG - ROCK STAR - MP3.

DOWNLOAD TEAM SHAROBARO - ALELE - MP3.

PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA PROKOTO YA VICTORIA KIMANI.

DOWNLOAD BOB JUNIOR MUSIC - BOLINGO - MP3.

DOWNLOAD MPOKI NEW SONG - UMIZA KICHWA - MP3.

DOWNLOAD CASSIM MGANGA - MOTOMOTO - MP3.

DOWNLOAD BABA LEVO NEW SONG - SHEREHE - MP3.

DOWNLOAD IZZO B - WALALA HOI - MP3.

MICHELLE WILLIUMS FT BEYONCE & KELLY ROWLAND - SAY YES - OFFICIAL VIDEO.